Namaingo Bussness Agency
Ni kampuni ya ushauri wa kibiashara, ujasiriamali na utekelezaji wa uatamizi wa wajasiriamali kwa kuwapa elimu na kuwaunganisha na fursa zilizopo.